Psalms 68:18

18 aUlipopanda juu, uliteka mateka,
ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu,
hata kutoka kwa wale walioasi,
ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko.
Copyright information for SwhNEN